Maaskofu na kamati za kuteua ni viongozi wa kichungaji kwa kila mkutano wa mwaka ambao hujitahidi kufanya uteuzi wa haki unaowapa makanisa na wachungaji fursa ya kukua na kustawi. Endapo malalamiko ya utovu wa maadili ya kingono yataibuka ndani ya Mkutano wa Mwaka, Maaskofu na washiriki wa kamati ya kuteua wanawajibika kuhakikisha mchakato wa malalamiko unafuatwa kwa njia inayozingatia kiwewe huku ikitafuta uwajibikaji na uponyaji kwa wote.